emalshani

0

1. Rangi ya kupakia inayotumia maji na dutu ya kuunganisha chembe zake.

Nomino
Mfano wa matumizi Fundi alipaka ukuta emalshani.

2. Mtawanyiko wa vitone vya kimiminika katika kingine kisichovichanganya kabisa.

Nomino
Mfano wa matumizi Jaribio lilionyesha emalshani ya mafuta na maji.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →