dhuma

0

1. Kipande cha mchezo wa dhumna chenye alama za nukta.

Nomino
Mfano wa matumizi Alichagua dhuma yenye nukta sita.

2. Mchezo unaochezwa kwa vipande vyenye alama za nukta.

Nomino
Mfano wa matumizi Okello na Amina walicheza dhuma.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →