daka

0

1. Nafasi iliyochimbwa ukutani kwa kuwekea vitu; shubaka.

Nomino
Mfano wa matumizi Vitabu viliwekwa katika daka la ukutani.

2. Tunda changa ambalo bado halijakomaa.

Nomino
Mfano wa matumizi Upepo uliangusha daka kutoka mnazini.

3. Kamata kitu kilichorushwa au kinachoanguka.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Nyandeng aliudaka mpira kwa mikono miwili.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →