1. Nazi changa yenye maji yanayonywewa.
Nomino
Mfano wa matumizi
Tulinywa maji ya dafu tulipofika Tanga.
2. Katika tungo fua dafu, kufanikiwa au kumudu jambo.
Nomino
Mfano wa matumizi
Timu yetu haikufua dafu mbele ya mabingwa.
1. Young coconut; young coconut containing drinkable coconut water.
Nomino
Example
We drank coconut water when we reached Tanga.
2. Succeed; in the phrase fua dafu, succeed or manage a difficult task.
Nomino
Example
Our team could not overcome the champions.
1. Noix de coco jeune; noix de coco jeune contenant de l’eau à boire.
Nomino
Exemple
Nous avons bu de l’eau de coco à notre arrivée à Tanga.
2. Réussir; dans l’expression fua dafu, réussir ou venir à bout d’une difficulté.
Nomino
Exemple
Notre équipe n’a pas réussi à vaincre les champions.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi