chunguza

0

1. Dadisi jambo ili kufahamu undani wake.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Kamati ilichunguza matumizi ya fedha.

2. Angalia mtu au kitu kwa makini kubaini hali yake.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Daktari alimchunguza mgonjwa.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →