chujua

0

1. Punguza ladha kwa kuongeza maji mengi.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Maji mengi yalichujua mchuzi.

2. Fanya rangi ya kitu ififie.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Jua lilichujua rangi ya pazia.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →