chovya

0

1. Hali ya mwili kuvimba.

Nomino
Mfano wa matumizi Mhudumu alichunguza chovya katika miguu yake.

2. Ingiza kitu katika kimiminika kisha ukitoe papo hapo.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Salma alichovya mkate kwenye chai.

3. Badili rangi ya kitu kwa kukitia katika rangi ya majimaji.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mutesi alichovya kitambaa katika rangi ya buluu.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →