1. Fukua ardhi na kuondoa udongo.
Kitenzi2. Soma kwa bidii na kwa kina.
Kitenzi3. Panga kwa siri kumletea mtu matatizo au mkasa.
Kitenzi4. Fuatafuata au chunguza mwenendo wa mtu kwa nia ya kupata kosa.
Kitenzi1. Dig; excavate earth.
Kitenzi2. Study hard; read or learn intensively.
Kitenzi3. Plot against; secretly seek someone’s downfall.
Kitenzi4. Keep tabs on; closely follow someone looking for faults.
Kitenzi1. Creuser; retirer de la terre.
Kitenzi2. Bûcher; étudier avec ardeur et profondeur.
Kitenzi3. Comploter contre; chercher secrètement à nuire à quelqu’un.
Kitenzi4. Surveiller de près; suivre quelqu’un pour trouver une faute.
KitenziTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi