chemshabongo

0

1. Mchezo wa maswali yanayohitaji majibu ya haraka.

Nomino
Mfano wa matumizi Wanafunzi wa Mbale walishiriki chemshabongo ya historia.

2. Fumbo la kujaza herufi kwenye visanduku ili kuunda maneno.

Nomino
Mfano wa matumizi Alitatua chemshabongo gazetini.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →