chekeamwezi

0

Ndege wa maeneo ya maji mwenye miguu mirefu, domo refu lililopinda chini na sehemu ya nyuma nyeupe.

Nomino
Mfano wa matumizi Chekeamwezi alitafuta chakula kando ya Ziwa Nakuru.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →