chechesha

0

1. Tuliza mtoto anayelia kwa kumbembeleza.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Baba alimchechesha mtoto.

2. Cheza na mtoto ili kumfurahisha.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Baba alimchechesha mtoto kwa mchezo wa mikono.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →