changamsha

0

1. Furahisha au jaza mtu bashasha.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Nyimbo ziliwachangamsha wageni.

2. Ongeza uhai, nguvu au shughuli katika jambo.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Soko jipya la Mbale lilichangamsha biashara katika vijiji jirani.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →