1. Majani ya mchai yaliyotayarishwa na kukaushwa kwa kutengenezea kinywaji.
Nomino2. Kinywaji kinachotengenezwa kwa majani ya mchai na maji moto, wakati mwingine pamoja na maziwa.
Nomino3. Pesa au zawadi inayotolewa kwa siri ili kupata huduma au upendeleo; rushwa.
Nomino1. Tea leaves; processed dried leaves used to make tea.
Nomino2. Tea; a drink made with tea leaves and hot water, sometimes with milk.
Nomino3. Bribe; money or a gift secretly offered to obtain a service or favour.
Nomino1. Thé en feuilles; feuilles préparées et séchées servant à faire du thé.
Nomino2. Thé; boisson préparée avec des feuilles de thé et de l’eau chaude, parfois avec du lait.
Nomino3. Pot-de-vin; argent ou cadeau offert secrètement pour obtenir un service ou une faveur.
NominoTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi