Sababisha kitu kichache, kichachuke au kianze kuharibika.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Joto lilichachisha mchanganyiko uliokuwa kwenye chungu.
Ferment; cause something to ferment, sour or begin to spoil.
Kitenzi
Example
The heat fermented the mixture in the pot.
Faire fermenter; provoquer la fermentation, l’aigrissement ou l’altération d’une matière.
Kitenzi
Exemple
La chaleur a fait fermenter le mélange dans la marmite.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi