Kata kitu vipande vidogovidogo.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Khadija alichaanga muhogo kabla ya kuuweka sufuriani.
Chop up; cut something into small pieces.
Kitenzi
Example
Khadija chopped the cassava into small pieces before putting it in the pot.
Hacher; couper quelque chose en petits morceaux.
Kitenzi
Exemple
Khadija a coupé le manioc en petits morceaux avant de le mettre dans la marmite.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi