Kiko kikubwa cha kuvutia tumbaku kinachopitisha moshi kwenye maji.
Nomino
Mfano wa matumizi
Buruma la zamani liliwekwa kwenye maonesho ya vifaa vya nyumbani.
Hookah; a large tobacco pipe that passes smoke through water.
Nomino
Example
An old hookah was displayed in the exhibition of household objects.
Narguilé; grande pipe à tabac faisant passer la fumée à travers de l’eau.
Nomino
Exemple
Un ancien narguilé a été présenté à l’exposition d’objets domestiques.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi