Maana 1
Kufanya kitu kisipate utaratibu au mpangilio unaotakiwa kwa kukichanganya au kukivuruga.
Mfano wa matumizi: Usiburuga karatasi mezani, ziache kama zilivyo.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.