Maana 1
Hali au sharti la kutenda jambo au kutokea kwa jambo fulani bila hiari; jambo ambalo ni lazima lifanyike au litokee.
Mfano wa matumizi: Katika hali hii, hakuna budi ila kuchukua hatua haraka.
Kiarabu: būdī
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.