borohoa

0

Kitoweo cha maharagwe, choroko au kunde zilizosongwa kuwa mchanganyiko mzito laini.

Nomino
Mfano wa matumizi Salma alitupakulia wali pamoja na borohoa ya choroko.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →