Mfuniko wa sehemu ya injini ya gari.
Nomino
Mfano wa matumizi
Dereva alifungua boneti kuangalia injini.
Bonnet; the cover over a car’s engine compartment.
Nomino
Example
The driver opened the bonnet to inspect the engine.
Capot; couvercle du compartiment moteur d’une voiture.
Nomino
Exemple
Le conducteur a ouvert le capot pour examiner le moteur.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi