Maana 1
Aliye na shughuli nyingi au anayeshughulika sana na mambo mbalimbali.
Mfano wa matumizi: Mwalimu wetu ni bizi siku zote na wanafunzi wake.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.