bitiruti

Aina ya udongo mwekundu au chokaa laini inayotumika kusugulia vyombo vya nyumbani ili kuvifanya ving'ae.

Udongo au chokaa laini kwa kusafishia vyombo.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
chokaa