Kusukuma kitu kikisogea kwa kuviringika.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Wafanyakazi wa ghalani Mbale walibimbirisha pipa tupu hadi mlangoni.
Roll along; push an object so that it turns as it moves.
Kitenzi
Example
The warehouse workers in Mbale rolled an empty barrel to the door.
Faire rouler; pousser un objet pour qu’il tourne en avançant.
Kitenzi
Exemple
Les employés de l’entrepôt de Mbale ont fait rouler un tonneau vide jusqu’à la porte.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi