bebwa

0

1. Kuchukuliwa na kusafirishwa kama mzigo.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Sanduku lilibebwa na watu wawili.

2. Kusaidiwa na wengine kutekeleza jambo.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Hakutaka kubebwa katika kazi aliyoweza kufanya mwenyewe.

3. Kupata upendeleo unaorahisisha mafanikio kuliko wanaoshindana nawe.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Watazamaji walidai kuwa timu ilibebwa na mwamuzi.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →