bebena

0

1. Kukata kitu kidogokidogo kwa meno ya mbele.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Sungura alibebena karoti polepole.

2. Kukata chakula kwa meno ya mbele kisha kukitafuna kwa magego.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mtoto alibebena kipande cha mkate.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →