Bata mkubwa anayependelea kuishi na kuelea majini.
Nomino
Mfano wa matumizi
Batamaji alielea mbali kidogo na ukingo.
Large water duck; a large duck that lives and floats on water.
Nomino
Example
The large water duck floated a short distance from the bank.
Grand canard aquatique; grand canard vivant et flottant sur l’eau.
Nomino
Exemple
Le grand canard aquatique flottait à quelque distance de la rive.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi