Jifanya hujui au hutambui jambo; jitia hamnazo.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Alipoulizwa alikoweka ufunguo, alibarauza kana kwamba hakuwa ameusikia ukitajwa.
Feign ignorance; pretend not to know or understand something.
Kitenzi
Example
Asked where he had put the key, he pretended not to know what was being discussed.
Feindre l’ignorance; faire semblant de ne pas savoir ou comprendre.
Kitenzi
Exemple
Interrogé sur l’endroit où il avait mis la clé, il a fait semblant de ne pas comprendre de quoi l’on parlait.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi