Kofia inayoshonwa au kusokotwa kwa kitambaa au nyuzi nyeupe, inayovaliwa hasa na wanaume Waislamu.
Nomino
Mfano wa matumizi
Kabla ya kwenda msikitini, Salim alivaa baragashia safi.
White prayer cap; a cap made from white cloth or thread, worn especially by Muslim men.
Nomino
Example
Before going to the mosque, Salim put on a clean prayer cap.
Bonnet de prière blanc; coiffe en tissu ou en fil blanc portée notamment par les hommes musulmans.
Nomino
Exemple
Avant de se rendre à la mosquée, Salim a mis une calotte propre.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi