Kujipatia riziki kwa kufanya kazi za hapa na pale zisizo za kudumu.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Akiwa Bukavu, Kasongo alibangaiza kwa kazi za hapa na pale kabla ya kupata ajira ya kudumu.
Live on casual work; earn a living through irregular jobs.
Kitenzi
Example
In Bukavu, Kasongo earned a living from odd jobs before finding permanent work.
Vivre de petits travaux; gagner sa vie grâce à des emplois occasionnels.
Kitenzi
Exemple
À Bukavu, Kasongo a vécu de petits travaux avant de trouver un emploi permanent.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi