1. Kugeuzwa umbo, sura au hali kwa kufanyiwa mabadiliko.
Kitenzi2. Kuondolewa katika nafasi fulani na kingine au mwingine kuwekwa mahali pake.
Kitenzi1. Be transformed; have one’s form, appearance or condition altered.
Kitenzi2. Be replaced; be removed from a position and have another thing or person put in one’s place.
Kitenzi1. Être transformé; subir une modification de forme, d’apparence ou d’état.
Kitenzi2. Être remplacé; être retiré d’une place et céder la place à une autre chose ou personne.
KitenziTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi