Maana 1
Baba wa mzazi wako, yaani baba wa baba yako au baba wa mama yako.
Mfano wa matumizi: Babu yangu alinihadithia hadithi nyingi za kale.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.