1. Jambo, kitu au mtu anayedhaniwa kuwa sababu ya maafa, hasara au mkosi.
Nomino2. Mahali palipotengwa kwa kuuza na kunywea vinywaji vyenye pombe.
Nomino3. Pigo la mguu linalotolewa na mtu akiwa amelala.
Nomino1. Calamity; something or someone considered a cause of disaster, loss or misfortune.
Nomino2. Bar; a place set aside for selling and drinking alcoholic beverages.
Nomino3. Sleeping kick; a kick delivered by someone while asleep.
Nomino1. Fléau; chose ou personne considérée comme une cause de désastre, de perte ou de malheur.
Nomino2. Bar; établissement destiné à la vente et à la consommation de boissons alcoolisées.
Nomino3. Coup de pied pendant le sommeil; coup porté avec le pied par une personne endormie.
NominoTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi