ashakum

0

Tamko la kuomba radhi kabla ya kutaja neno au jambo linaloweza kuonekana la aibu au la matusi.

Kihisishi
Mfano wa matumizi Alisema, “Ashakum, nitalazimika kurudia maneno aliyotumia mhusika.”
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →