Kijiji cha kufikirika ambacho wakazi wake huishi kwa raha na utulivu bila taabu.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mwandishi alikichora kijiji cha hadithi yake kama arkadia.
Arcadia; an imagined village whose inhabitants live in happiness, peace and ease.
Nomino
Example
The writer portrayed the village in his story as an Arcadia.
Arcadie; village imaginaire dont les habitants vivent heureux, paisibles et sans soucis.
Nomino
Exemple
L’écrivain a dépeint le village de son récit comme une Arcadie.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi