Maana 1
Kumwombea mtu mabaya, kumtamkia laana au hasara, mara nyingi kwa hasira au chuki.
Mfano wa matumizi: Alimwendea mchawi ili amuapize adui yake.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.