angukia

0

1. Kuanguka na kufikia ndani ya kitu au juu ya kitu fulani.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mpira uliangukia kwenye beseni lililokuwa uani.

2. Kumwomba msamaha mtu uliyemkosea kwa kujishusha na kuonyesha majuto.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Kijana alimwangukia baba yake baada ya kukiri kosa.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →