Maana 1
Kutembea au kuzunguka sehemu mbalimbali bila kuwa na lengo maalumu.
Mfano wa matumizi: Alikuwa anaangaanga mjini mchana kutwa bila kazi maalumu.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.