Kufanya kitu, jambo au mtu awe tayari kwa matumizi, utekelezaji au shughuli fulani.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Wahudumu walianda ukumbi kwa ajili ya maonyesho.
Prepare; make a thing, undertaking or person ready for use or a particular activity.
Kitenzi
Example
The attendants prepared the hall for the exhibition.
Préparer; rendre une chose, une entreprise ou une personne prête pour un usage ou une activité.
Kitenzi
Exemple
Les agents ont préparé la salle pour l’exposition.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi