Kufanikiwa kupata kiasi fulani cha kitu au matokeo yaliyokuwa yakitarajiwa.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Licha ya kucheza vizuri, timu ya Mushi iliambulia pointi moja tu.
Obtain; succeed in getting some amount of what was expected.
Kitenzi
Example
Despite playing well, Mushi’s team obtained only one point.
Obtenir; parvenir à recevoir une certaine quantité de ce qui était attendu.
Kitenzi
Exemple
Malgré une bonne prestation, l’équipe de Mushi n’a obtenu qu’un point.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi