Tamko linalotolewa mtu anaposhangazwa na jambo aliloliona au kusikia.
Kihisishi
Mfano wa matumizi
“Ama! Hiki ndicho kisima mlichokijenga kwa mikono yenu?”
Oh; an exclamation expressing surprise at something seen or heard.
Kihisishi
Example
“Oh! Is this the well you built with your own hands?”
Oh; exclamation de surprise devant une chose vue ou entendue.
Kihisishi
Exemple
« Oh ! C’est donc le puits que vous avez construit de vos propres mains ? »
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi