Karibu jambo litokee, lakini hatimaye halikutokea; nusura.
Kielezi
Mfano wa matumizi
Almanusura Fadumo akose basi la kwenda Hargeysa.
Almost; indicating that an event came close to happening but did not occur.
Kielezi
Example
Fadumo nearly missed the bus to Hargeysa.
Faillir; indique qu’un événement a été sur le point de se produire sans se réaliser.
Kielezi
Exemple
Fadumo a failli manquer le car pour Hargeysa.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi