Salamu ya kuagana usiku; usiku mwema.
Nomino
Mfano wa matumizi
Wageni walitakiana alamsiki kabla ya kurudi makwao.
Good night; a farewell greeting wishing someone a pleasant night.
Nomino
Example
The guests wished one another good night before returning home.
Bonne nuit; formule employée en prenant congé le soir pour souhaiter une nuit agréable.
Nomino
Exemple
Les invités se sont souhaité bonne nuit avant de rentrer chez eux.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi