ahasi

Kumfanya mnyama dume asiweze kuzaa kwa kumkata sehemu zake za uzazi; kuhasi.

Kitendo cha kumwondolea mnyama dume uwezo wa kuzaa.

Maana

2 jumla

Vinyume

1 jumla
kuzaa

Asili ya neno

Kiswahili