Tamko linalotolewa mtu anaposhangazwa na jambo.
Kihisishi
Mfano wa matumizi
Afanalek! Wani amefika kabla yetu licha ya kuondoka baadaye!
Goodness; an exclamation expressing surprise.
Kihisishi
Example
Goodness! Wani arrived before us despite leaving later!
Oh là là; interjection exprimant la surprise.
Kihisishi
Exemple
Eh bien ! Wani est arrivé avant nous malgré son départ plus tardif !
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi