advansi

0

Malipo yanayotolewa kabla ya muda wa kawaida wa kulipa au kabla ya kazi kukamilika.

Nomino
Mfano wa matumizi Lubega alipokea advansi ya kazi ya kutengeneza samani mjini Entebbe.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →