Uwezo wa kufahamu jambo kwa undani.
Nomino
Mfano wa matumizi
Absari yake ilisaidia kutambua tatizo.
Insight or discernment; a deep understanding of a matter.
Nomino
Example
Her insight helped identify the problem.
Perspicacité ou discernement; compréhension approfondie d’une question.
Nomino
Exemple
Sa perspicacité a aidé à cerner le problème.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi