Kumsafirisha au kumwezesha mtu afanye safari.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Mashua iliabirisha wageni hadi kisiwani.
Transport or convey; enable someone to travel from one place to another.
Kitenzi
Example
The boat conveyed the visitors to the island.
Transporter ou acheminer; permettre à quelqu’un de se déplacer d’un lieu à un autre.
Kitenzi
Exemple
Le bateau a transporté les visiteurs jusqu’à l’île.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi