a!

0

1. Tamko la kuonyesha mshangao.

Kihisishi
Mfano wa matumizi A! Kumbe Kato ndiye aliyepanda miti hii yote!

2. Tamko la kuonyesha dharau au kupuuza jambo.

Kihisishi
Mfano wa matumizi A! Habtamu, unauita huu ushindi baada ya kuvunja sheria?
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →