Vinjari kwa Herufi

Herufi: U

Vimepatikana vidahizo 2,066 vinavyoanza na herufi U.

Ukurasa 1 / 42 Jumla 2,066

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

ua

1. Sehemu ya mmea inayohusika na uzazi wa mbegu. 2. Eneo la wazi katika makazi; uga. 3. Ondoa uhai wa kiumbe.

Uafrika

1. Hali ya mtu kuwa Mwafrika. 2. Mila, desturi na tabia zinazohusishwa na jamii za Afrika.

uaguzi

1. Ubashiri wa mambo yajayo au tafsiri ya ndoto na ishara. 2. Utoaji wa huduma za afya na dawa. 3. Shughuli ya kimila ya kuondoa uchawi unaoamini...

uajiri

1. Tendo la kumpa mtu kazi ya kuajiriwa. 2. Namna ya kupata na kuchukua wafanyakazi.

uakida

1. Cheo cha mkuu wa jeshi katika ukoloni wa Wajerumani. 2. Cheo cha msimamizi wa utamaduni katika jamii fulani za Waswahili. 3. Cheo cha msaidizi...

uamuaji

1. Kuwatenganisha au kuwazuia wanaogombana waache. 2. Usimamizi wa maamuzi katika mchezo wa ushindani.

uamuzi

1. Maafikiano ya mwisho yaliyopitishwa kwenye kikao. 2. Ukataji wa shauri kuhusu jambo la kufanya.

uana

1. Hali ya kuwa mwanamke au mwanamume; jinsia. 2. Sababishiana vifo kati ya watu au viumbe.