ukinaifu

Hali ya kuridhika na kile alicho nacho mtu, bila kutamani au kutaka zaidi ya alichonacho.

Ukinaifu ni hali ya kutotosheka na kuridhika na alichonacho mtu.

Maana

2 jumla

Vinyume

1 jumla
tamaa

Asili ya neno

Kiswahili